Ushairi ni sauti ya vizazi — unasema yale ambayo maneno ya kawaida hayawezi kufikisha.”
— Mrisho Mpoto, Msanii wa Mashairi na Muziki
📌 Ujumbe: Maneno yana nguvu, lakini shairi lina nguvu zaidi. Linaweza kugusa roho, kuhamasisha taifa, na kuishi kwa vizazi.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #MrishoMpoto #Ushairi