“Umaarufu unaweza kumalizika, lakini heshima uliyopanda kwa watu haitawahi kuondoka.”
— Wema Sepetu, Muigizaji na Mjasiriamali
📌 Ujumbe: Tafuta zaidi ya umaarufu. Panda heshima, fanya mema, watu watakukumbuka hata jina likipotea kwenye vichwa vya habari.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #WemaSepetu #Heshima