SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Ni kisa gani kilichokufundisha kuwa pesa hubadilisha watu kuliko kitu kingine chochote

Download | Play Now
Ni kisa gani kilichokufundisha kuwa pesa hubadilisha watu kuliko kitu kingine chochote

“Ni kisa gani kilichokufundisha kuwa pesa hubadilisha watu kuliko kitu kingine chochote? 💵”

Pesa inaweza kuleta furaha, lakini pia inaweza kufunua sura halisi ya mtu.
👉 Ulishawahi kushuhudia mtu akibadilika kwa sababu ya pesa?

#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #NguvuYaPesa