Talent bila nidhamu ni kama gari bila mafuta – inaweza kuwa kubwa lakini haitafika popote.”
— Rayvanny, Msanii na CEO wa Next Level Music
📌 Ujumbe: Nidhamu ndiyo msingi wa safari ya kila msanii. Bila nidhamu, kipaji hakiwezi kufikia malengo makubwa.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #Rayvanny #Nidhamu #NextLevelMusic