“Redio ni zaidi ya burudani, ni daraja kati ya msanii na shabiki, kati ya sauti na moyo.”
— Salome Wanjiru, Mtangazaji wa Redio
📌 Ujumbe: Redio imebaki kuwa sauti ya kuunganisha wasanii na mashabiki. Ni jukwaa la burudani, elimu na mshikamano wa jamii.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #RedioPresenter #SautiYaJamii