
“Singeli yangu si maigizo, ni kioo cha maisha ya mtaa β furaha, uchungu na ndoto za vijana.”
β Dulla Makabila, Msanii wa Singeli
π Ujumbe: Muziki wa kweli hutoka moyoni na kuakisi maisha halisi ya jamii. Singeli ni sauti ya mtaa na kizazi kinachopambana.
π Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #DullaMakabila #Singeli #Uhalisi
