Leo ni siku ya kipekee kwa msanii wa Singeli anayefahamika kama Midabo Fleva! Tunamtakia heri ya kuzaliwa, maisha marefu, afya tele, na mafanikio zaidi katika safari yake ya muziki.
Midabo Fleva ameendelea kupeperusha bendera ya Singeli kwa juhudi na ubunifu mkubwa. Muziki wake umeendelea kugusa mashabiki wengi ndani na nje ya Tanzania.
SIKILIZA NGOMA ZA MIDABO FLEVA :
AUDIO Midabo Fleva – Si Umeamua MP3 DOWNLOAD
AUDIO | Midabo Fleva – Tamu Yangu | Download
AUDIO | Midabo Fleva – Yamoto | Download