SAUTI YA MTAA 🎙️ – Swali Tata
“Je, umewahi kuwa chanzo cha maumivu kwa mtu mwingine? 😔 Ulijisikiaje?”
Soma Hii Pia : SAUTI YA MTAA : Ni Lini Mara ya Mwisho Kulia Hadharani ? Kisa Kilikuwa Nini ?
Sio kila wakati tunaumizwa — wakati mwingine, sisi ndio tunaumiza wengine.
Maneno, vitendo, au maamuzi yetu huacha majeraha kwa mioyo ya wenzetu.
Lakini je, uliwahi kugundua? Ulijuta? Ulimwomba msamaha?
👇 Tuambie ukweli wako – bila kujihukumu.
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #MaumivuYaMioyo #UkweliWaMaisha