SAUTI YA MTAA 🎙️ – Swali Tata
“Ni lini mara ya mwisho ulilia hadharani? 😢 Kisa kilikuwa nini?”
Kuna machozi ya huzuni, machozi ya hasira, na mengine ya kushindwa kuvumilia maumivu mbele za watu.
Wengine walilia kwenye msiba, wengine kwenye ndoa ilipovunjika, wengine walilia kwa furaha…
Somana Hii Pia : SAUTI YA MTAA : Ni tukio gani lililokufedhehesha darasani mpaka leo bado unalikumbuka
Kama hutaki kusema, weka tu 🕊️. Kama uko tayari, andika hadithi yako hapa
#SautiYaMtaa #SwaliTata #IKMZIKI #MachoziYaUkweli #MaishaNaHisia