Swali Tata – Ujinga wa Shuleni
“Ni tukio gani lililokufedhehesha darasani mpaka leo bado unalikumbuka?”
Wengine tuliitwa majina ya ajabu, wengine tulisahau kusoma mbele ya darasa, wengine tulichekwa kwa majibu ya kipuuzi.
Lakini yote ni sehemu ya safari ya maisha!
Toa kisa chako hapa chini – tujifunze, tucheke pamoja!
#SwaliTata #SautiYaMtaa #IKMZIKI #MaishaYaShule #AibuYaDarasani