SAUTI YA MTAA – SWALI TATA
powered by IK MZIKI
“Ungefanyaje kama mzazi wako anakataa ndoa yako kwa sababu ya dini au kabila la mpenzi wako?”
Umempenda kweli, mmepanga maisha pamoja, lakini mzazi anakataa kabisa — si kwa sababu ya tabia, ila kwa dini au kabila tu.
Je, utafuta njia ya kusawazisha… au utachagua moyo wako na kuvunja mila?
Toa maoni yako. Je, upendo unapaswa kuwa na mipaka?
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #SwaliTata #MapenziVsMila #ChangamotoZaNdoa #MaishaYaMtaa