NUKUU KUTOKA KWA PADRE PIO KUUSU KUWA NA SUBRA
“Kuwa mpole kwa nafasi yako. Jifunze kusubiri bila kulalamika. Maombi huleta majibu, lakini kwa wakati wa Mungu — si wa binadamu.”
— Padre Pio (Mt. Pio wa Pietrelcina), Padri wa Kikatoliki, Mtawa na Mtakatifu wa Kanisa Katoliki
📌 Ujumbe: Subira ni kipimo cha imani. Mara nyingi tunaomba leo na kutaka majibu kesho, lakini hekima ya Mungu hutenda kwa muda wake bora. Badala ya kulalamika, omba ukiamini, kisha tulia na umwachie Mungu. Majibu huja, si kwa pupa bali kwa wakati wenye baraka.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi #PadrePio #SubiraNaMaombi