SAUTI YA MTAA – SWALI LA LEO
“Hivi mtu anayekupenda ANAWEZA kukaa siku nzima bila hata kukutafuta?”
π± Hakuna meseji.
π Hakuna simu.
πΆ Kimya tu… siku nzima!
Tuseme ukweli⦠Mapenzi ya kweli yanavumilia kimya au kimya ni ishara ya kutokujali?
Je, kuna sababu ya msingi au ni red flag tu imejificha?
π Tuambie wewe unaamini nini.
π Tag yule mtu huwa anakaa kimya siku nzima, waambie hii ni sauti ya mtaa siyo ya roho peke yake π
#IKMZIKI #SautiYaMtaa #SwaliLaMapenzi #MapenziYaMitaa #LoveTalks #RedFlagAuSio