NUKUU YA LEO — Kutoka kwa Barack Obama
(Rais wa 44 wa Marekani)
“Mabadiliko hayatakuja kama tukisubiri mtu mwingine au wakati mwingine.
Sisi ndio tuliokuwa tunangoja. Sisi ndio mabadiliko tunayoyatafuta.”
Ujumbe: Usiishi kusubiri dunia ibadilike — anza na wewe. Kila hatua ndogo ulichukua ni matofali ya kesho bora.?
Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
👉 Jiunge nasi kwenye WhatsApp channel yetu kwa kubonyeza hapa:
#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi