AUDIO NUKUU

NUKUU KUTOKA KWA ASKOFU DESMOND TUTU KUUSU DHULUMA

NUKUU YA LEO — Kutoka kwa Askofu Desmond Tutu
(Kiongozi wa Kanisa na Mpigania Haki – Afrika Kusini)
“Kama uko upande wa ukimya wakati wa dhuluma, basi umechagua upande wa dhalimu.”

📌 Ujumbe: Imani ya kweli haikai kimya mbele ya uonevu. Simama na sauti ya wanyonge — huko ndiko haki ya kweli inapoishi.

🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.

👉 Jiunge nasi kwenye WhatsApp channel yetu kwa kubonyeza hapa:
https://whatsapp.com/channel/0029Vb5gcK5LtOj3iuG3gb3F

#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi