NUKUU YA LEO — Kutoka kwa Akon
(Msanii na Mjasiriamali wa Kiafrika)
“Afrika ina kila kitu kinachohitajika kwa mafanikio makubwa.
Tunachohitaji zaidi ni kuamini wenyewe katika uwezo wetu.”
📌 Ujumbe: Bara letu lina rasilimali, vipaji na akili. Tuanze kuwekeza ndani yetu wenyewe, na kusimama kwa fahari bila kungojea kutambuliwa na wengine.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
👉 Jiunge nasi kwenye WhatsApp channel yetu kwa kubonyeza hapa:
https://whatsapp.com/channel/0029Vb5gcK5LtOj3iuG3gb3F
#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi