AUDIO NUKUU

NUKUU KUTOKA KWA BARACK OBAMA KUUSU MABADILIKO

Nukuu kutoka kwa Barack Obama kuusu Mabadiliko

NUKUU YA LEO — Kutoka kwa Barack Obama (Rais wa 44 wa Marekani)

“Mabadiliko hayatakuja ikiwa tunasubiri mtu mwingine au wakati mwingine. Sisi ndio tulio na nguvu, sisi ndio tunasubiriwa.”

📌 Ujumbe: Kila mmoja wetu ana uwezo wa kuleta mabadiliko. Dunia haiwezi kubadilika kama sisi hatutachukua hatua. Anza na wewe — leo.

🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.

👉 Jiunge nasi kwenye WhatsApp channel yetu kwa kubonyeza hapa:
https://whatsapp.com/channel/0029Vb5gcK5LtOj3iuG3gb3F

#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi