AUDIO NUKUU

NUKUU KUTOKA KWA NANDY KUUSU MAFANIKIO

Download | Play Now
Nukuu kutoka Nndy kuusu Mafanikio

NUKUU YA LEO β€” Kutoka kwa Nandy
(Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva na Mfanyabiashara)
“Uzuri wa mafanikio hautokani na uzuri, bali moyo unaoamua kupigania ndoto bila kuchoka.”

πŸ“Œ Ujumbe: Mafanikio si suala la sura au mvuto wa nje β€” yanahitaji dhamira ya kweli na juhudi zisizokoma. Moyo wenye ari na msimamo ndio silaha ya kweli ya kufikia ndoto zako, hata unapokutana na vikwazo.

πŸ• Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.

πŸ‘‰ Jiunge nasi kwenye WhatsApp channel yetu kwa kubonyeza hapa:
https://whatsapp.com/channel/0029Vb5gcK5LtOj3iuG3gb3F

#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi