NUKUU YA LEO — Kutoka kwa Mohammed “Mo” Dewji (Mfanyabiashara Maarufu na Mfadhili kutoka Tanzania)
“Utajiri wa kweli si kiasi cha mali, ni idadi ya maisha ulioyagusa kwa wema na msaada.”
📌 Ujumbe: Thamani ya mtu haitokani tu na mali aliyonayo, bali kwa jinsi anavyotumia mali hiyo kuwasaidia wengine. Moyo wa kutoa, kugusa maisha ya wengine kwa upendo na msaada — huo ndio utajiri wa kweli unaodumu.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
👉 Tujiunge Nasi kwenye WhatsApp channel yetu kwa kubonyeza hapa:
https://whatsapp.com/channel/0029Vb5gcK5LtOj3iuG3gb3F
#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi