“Malengo yako ni ramani za barabara zinazokuongoza na kukuonyesha kile kinachowezekana kwa maisha yako.”
📌 Ujumbe: Bila malengo, maisha yanapotea bila mwelekeo. Malengo ni kama dira – yanakusaidia kujua wapi unaenda na yanakupa sababu ya kuamka kila siku ukiwa na ari mpya.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
👉 Tujiunge Nasi kwenye WhatsApp channel yetu kwa kubonyeza hapa:
https://whatsapp.com/channel/0029Vb5gcK5LtOj3iuG3gb3F
#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi