AUDIO NUKUU

NUKUU KUTOKA KWA JULIUS K. NYERERE KUUSU MAENDELEO

Nukuu ktoka kwa Julius K. Nyerere Kuusu Maendeleo

“Maendeleo ya kweli si magari wala pesa bali ni utulivu wa moyo na thamani ya utu.”

📌 Ujumbe: Maendeleo ya kweli hayawezi kupimwa kwa vitu vya anasa au mali, bali hupimwa kwa amani ya ndani na namna tunavyothamini ubinadamu wetu. Binadamu mwenye utu na moyo tulivu ana maendeleo ya kweli kuliko mwenye mali lakini hana amani.

🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku asubuhi saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #SautiYaMtaa #UjumbeWaAsubuhi