“Ni muda gani mgumu zaidi wakati wa kuingia au kutoka guest house?”
π Asubuhi?
π Mchana?
π Usiku wa manane?
Letβs be realβ¦ Kibongo bongo, guest house haionekani kama sehemu ya kawaida ya kulala tu β wengi huona kama ni “eneo la mapenzi” π
Sasa ka-gumu kinachojitokeza ni lazima ujifiche, uangalie kushoto kulia, na bado kuna mtu anakutambua π³
π Je, kwa mtazamo wako ni muda gani unaogopesha zaidi? Kuingia au kutoka? Na saa ngapi hasa?
π¨οΈ Comment jibu lako hapa chini β usijifiche, tuko mtaa mmoja!
π Tag mtaani mwenzako waambie waseme ya moyoni!
#IKMZIKI #SautiYaMtaa #SwaliTata #GuestHouseMtaani #VibeZaMtaa