Msanii wa King Music, Vanillah, amesema:“Huu ni muda wa Singeli, ila wasanii wengine bado hawajastuka!”
Kauli hii ameitoa kupitia ukurasa wake wa Instagram, akionyesha kuwa Singeli ndiyo inayoendesha game kwa sasa. Je, Bongoflava imetulia? Au Singeli ndiyo ina-trend?
RELATED : Dj Mushizo Ft. Jetty Mc & Vanillah – Mapenzi Hisia | Download
Drop comment yako hapa chini!
Unadhani Vanillah yuko sahihi? Je, wasanii wengine wanachelewa kuamka?
Follow @ikmziki kwa taarifa motomoto, hits mpya, na updates straight kutoka kwa mastaa wa Bongo!
#Vanillah #SingeliMovement #KingMusic #Alikiba #BongoFleva #BongoLaMuziki #TanzaniaMusic #ikmziki