
“Mwimbaji wa backup anaweza kuwa na kipaji kikubwa kuliko msanii mkuu anayemsindikiza?”
Wapo waimbaji wanaosikika vizuri sana kwenye chorus na live performances, lakini majina yao hayajulikani kwa mashabiki wengi. Je, ni kwa sababu hawajapewa nafasi, au kuwa na sauti nzuri pekee hakutoshi kujenga jina kwenye muziki?
Unamfahamu mwimbaji wa backup ambaye unaamini akipewa nafasi anaweza kuwa nyota mkubwa? Mtaje!
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #BackupVocalist #BongoFlava #VipajiVyaMtaani
