E NEWS • BONGOFLEVA

HILI HAPA BALAA ZITO! CHINO KIDD NA MUGA B KWENYE KOLABO YA FUNGA MWAKA

Download | Play Now
HILI HAPA BALAA ZITO! CHINO KIDD NA MUGA B KWENYE KOLABO YA FUNGA MWAKA

Ukiwa shabiki wa msanii maarufu Chino Kidd, kaa mkao wa kula, maana kuna jambo zito linakuja!

Muga B anadaiwa kuwa na jambo lake zito na CEO wa Chino Wanaman Gang, Chino Kidd. Hii si habari ya kupuuzia, kwani majina haya yakikutana kwenye kazi moja, mashabiki wanabaki na swali moja tu: JE, HII NDIO NGOMA YA KUFUNGA MWAKA?

Muga B anaweza kuja kuzima zote na kuwasha zake! Kwa sasa mashabiki wakae tayari, maana balaa linaweza kuwa karibu kuanza.

Wewe unadhani kolabo ya Chino Kidd na Muga B itakuwaje? Tuambie kwenye comment, na endelea kutufuatilia IK MZIKI kwa updates za muziki na burudani.

#ChinoKidd #MugaB #FungaMwaka #IKMziki #BalaaZito #MusicUpdates

Copyright © 2018 IKMZIKI.COM, © 2023 IkMziki.com rights reserved.