
Tunazima zote, tunawaasha! Kuna kitu kizito kinakuja kutoka kwa mkali wa siku zote, msanii OVA TEN, akishirikiana na staa wa Singeli Dulla Makabila.
Hii tunaweza kusema ni fungamwaka, sababu ni bonge moja la ngoma ambalo linakuja kuwasha moto kwa mashabiki wa Singeli. Majina haya mawili yakikutana kwenye track moja, tunatarajia kazi yenye nguvu, mistari mikali na vibe la hatari.
Kaa karibu na IK MZIKI kwa updates zaidi kuhusu ujio wa ngoma hii.
#OVATen #DullaMakabila #Singeli #IKMziki #Fungamwaka #NewMusic #SingeliUpdates
