
“Je, wasanii wanapaswa kushindana au kushirikiana zaidi? ”
Ushindani huongeza ubunifu, lakini ushirikiano hujenga muziki mkubwa zaidi.
Wewe ungependa kuona ushindani mkali au collabo nyingi zaidi?
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Collabo #MusicIndustry #Burudani
