
“Usiogope kuanza chini, kila aliyepo juu aliwahi kuwa chini.”
— Recho, Msanii wa Hip Hop
Ujumbe:
Mwanzo mdogo siyo aibu. Kila mtu mkubwa unayemuona leo aliwahi kuwa mwanzilishi. Kitu muhimu ni kuanza na kutokukata tamaa njiani.
Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #Recho #Uthubutu #Mafanikio
