
Ufaransa dhidi ya Hispania, England dhidi ya Argentina: Nani atafuzu kwenda fainali ya Kombe la Dunia?
Tarehe 14 na 15 Julai, mechi za Ufaransa dhidi ya Hispania na England dhidi ya Argentina zitaamua ni timu zipi zitakazofuzu kucheza fainali ya mashindano makubwa ya soka. Tovuti bora ya ubashiri wa michezo 1xBet inaeleza matarajio ya mechi hizi pamoja na mambo yanayoweza kuathiri matokeo yake.
Ufaransa dhidi ya Hispania: Je, safu ya ulinzi ya La Roja inaweza kumzuia Mbappé?
Kikosi cha Didier Deschamps kimeshinda mechi zake zote kwenye mashindano haya. Kwanza, Les Bleus waliongoza kundi lililokuwa na Senegal, Iraq na Norway, kabla ya kuwaondoa Sweden (3-0), Paraguay (1-0) na Morocco (2-0) katika hatua ya mtoano. Ufaransa wamefunga jumla ya mabao 16, huku Kylian Mbappé akifunga mabao 8 kati ya hayo. Mshambuliaji wa Real Madrid anaendelea kuwa katika kiwango bora na ndiye tishio kubwa kwa safu yoyote ya ulinzi.
Hispania pia wana safu kali ya ushambuliaji pamoja na ulinzi imara, ambapo wamefungwa bao moja pekee katika mechi sita. Cape Verde, Saudi Arabia, Uruguay, Austria na Ureno walishindwa kabisa kuifunga timu ya Luis de la Fuente. Rekodi yao ya kutoruhusu bao ilivunjwa na Ubelgiji katika robo fainali, lakini La Roja bado waliibuka na ushindi wa mabao 2-1.
Katika mechi 38 walizokutana, Hispania wameshinda mara 18, Ufaransa mara 13, huku mechi 7 zikiisha kwa sare. La Roja pia wameshinda mikutano yao miwili ya mwisho. Katika nusu fainali ya Euro 2024 walishinda 2-1, na mwaka mmoja baadaye kwenye mchezo wa kusisimua wa Nations League wakashinda kwa mabao 5-4.
Hata hivyo, kwa mujibu wa 1xBet, kikosi cha Deschamps kinaonekana kuwa na nafasi kubwa kidogo ya kushinda mchezo huu. Odds za matokeo makuu ni kama ifuatavyo:
- Ushindi wa Ufaransa – 2.48
- Sare – 3.305
- Ushindi wa Hispania – 3.225
Iwapo Ufaransa watashinda, watafuzu kucheza fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya tatu mfululizo. Kwa upande wa Hispania, hawajafika fainali tangu walipotwaa ubingwa mwaka 2010.
England dhidi ya Argentina: Kane na Bellingham wamkabili Messi
England waliongoza kundi lililokuwa na Croatia, Ghana na Panama kwa urahisi, lakini walipoingia hatua ya mtoano walikumbana na upinzani mkali zaidi kila waliposonga mbele. Kwanza waliifunga DR Congo kwa mabao 2-1, kisha licha ya kucheza pungufu ya mchezaji mmoja waliichapa Mexico 3-2. Katika robo fainali dhidi ya Norway, kikosi cha Thomas Tuchel kilipata bao la ushindi katika muda wa nyongeza na kushinda 2-1.
Silaha kubwa ya England ni Jude Bellingham na Harry Kane, ambao wamefunga mabao 12 kati ya 13 ya timu yao kwenye mashindano haya. Wawili hao wanatarajiwa kuwa tishio kubwa kwa mabingwa watetezi.
Argentina pia walimaliza hatua ya makundi kwa mafanikio baada ya kuwashinda Algeria, Austria na Jordan. Hata hivyo, katika hatua ya mtoano hawajapata ushindi wa kushawishi licha ya kufunga mabao matatu katika kila mchezo.
Katika mechi mbili kati ya tatu za hatua ya mtoano, Argentina walihitaji zaidi ya dakika 90 kupata ushindi. Hatua ya 32 bora waliifunga Cape Verde 3-2 baada ya muda wa nyongeza, huku robo fainali dhidi ya Uswisi ikimalizika kwa sare ya 1-1 kabla ya mabao ya Julián Álvarez na Lautaro Martínez kuwapa ushindi wa 3-1. Mchezo pekee waliomaliza ndani ya dakika 90 nao ulikuwa wa kusisimua, ambapo walikuwa nyuma kwa mabao 2-0 hadi dakika ya 79 dhidi ya Misri kabla ya kufanya comeback ya kuvutia na kushinda 3-2.
England na Argentina wamekutana mara 13. England wameshinda mara 6, Argentina mara 2, huku mechi 5 zikiisha kwa sare. Ushindi utaifanya England kufika fainali kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1966. Endapo Argentina watashinda, watakaribia kufikia rekodi ya Brazil ya kutetea ubingwa wa Kombe la Dunia kama walivyofanya mwaka 1962.
Hakuna timu inayoonekana kuwa na nafasi kubwa zaidi ya kushinda mchezo huu. 1xBet inatoa odds zifuatazo kwa matokeo makuu:
- Ushindi wa England – 2.696
- Sare – 3.085
- Ushindi wa Argentina – 3.12
Fuatilia mechi za nusu fainali na waunge mkono timu unazozipenda kupitia tovuti bora ya ubashiri wa michezo 1xBet.
