SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Je, video kali inaweza kuifanya ngoma ya kawaida ionekane hit

Download | Play Now
Je, video kali inaweza kuifanya ngoma ya kawaida ionekane hit

“Je, video kali inaweza kuifanya ngoma ya kawaida ionekane hit? ”

Siku hizi video zina gharama kubwa kuliko hata kurekodi wimbo.
Lakini je, video nzuri inaweza kuficha udhaifu wa ngoma?

Unasemaje kuhusu hili?

#SautiYaMtaa #IKMZIKI #MusicVideo #Burudani #Muziki

Copyright © 2018 IKMZIKI.COM, © 2023 IkMziki.com rights reserved.