SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA Je, umaarufu wa msanii unaweza kupita ubora wa muziki wake

Download | Play Now
SAUTI YA MTAA Je, umaarufu wa msanii unaweza kupita ubora wa muziki wake

“Je, umaarufu wa msanii unaweza kupita ubora wa muziki wake? ”

Wakati mwingine jina la msanii huwa kubwa kuliko nyimbo zake.
Anatoa wimbo wa kawaida lakini unafanya vizuri kwa sababu ni yeye.
Je, mashabiki wanasikiliza muziki au jina la msanii?

Wewe unaonaje? Tuambie hapa chini

#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Burudani #MuzikiWaBongo #Wasanii

Copyright © 2018 IKMZIKI.COM, © 2023 IkMziki.com rights reserved.