
“Je, nyimbo za zamani zina ujumbe bora kuliko nyimbo za sasa? ”
Wapo wanaosema muziki wa zamani ulikuwa na mafunzo, heshima na ujumbe mzito.
Lakini wengine wanaamini muziki wa sasa unaendana na kizazi cha leo.
Wewe unapendelea upande gani?
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #OldSchoolVsNewSchool #Burudani #Muziki
