SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Je, msanii akikaa muda mrefu bila kutoa ngoma mpya, mashabiki wanapaswa kumsubiri

Download | Play Now
Je, msanii akikaa muda mrefu bila kutoa ngoma mpya, mashabiki wanapaswa kumsubiri

“Je, msanii akikaa muda mrefu bila kutoa ngoma mpya, mashabiki wanapaswa kumsubiri? ”

Kuna wasanii wanaweza kukaa mwaka mzima bila kuachia kazi mpya.
Je, mashabiki wanapaswa kuwa wavumilivu au muziki ni ushindani usiosubiri mtu?

Toa maoni yako hapa

#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Wasanii #NewMusic #Burudani