SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA Je, mafanikio ya msanii yanapimwa kwa pesa au heshima

Download | Play Now
SAUTI YA MTAA Je, mafanikio ya msanii yanapimwa kwa pesa au heshima

“Je, mafanikio ya msanii yanapimwa kwa pesa au heshima? ”

Kuna wenye pesa nyingi lakini hawaheshimiwi sana.
Wengine wana heshima kubwa lakini si matajiri kama watu wanavyodhani.

Wewe unapima mafanikio kwa kipi?

#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Success #Wasanii #Burudani

Copyright © 2018 IKMZIKI.COM, © 2023 IkMziki.com rights reserved.