
“Usikate tamaa kwa sababu tu hujafika leo, huenda kesho ndiyo siku yako.”
— Stamina, Msanii wa Hip Hop
Ujumbe:
Safari ya mafanikio haifanani kwa kila mtu. Wapo wanaofanikiwa mapema na wengine huchukua muda. Kitu muhimu ni kuendelea kusonga mbele bila kujilinganisha na watu wengine. Muda wako ukifika, matokeo yataonekana.
Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #Stamina #Uvumilivu #Mafanikio
