
“Kitu kinachokutofautisha na wengine ndicho kinachoweza kukutajirisha.”
— Master J, Producer
Ujumbe:
Usiogope kuwa tofauti. Mara nyingi watu wanaofanikiwa zaidi ni wale waliothubutu kuonyesha upekee wao. Usitumie muda mwingi kuiga, tumia muda kujitengeneza.
Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #MasterJ #Ubunifu #Success
