
“Usiombe nafasi mezani, jitengenezee meza yako mwenyewe.”
— Khaligraph Jones, Msanii wa Hip Hop
Ujumbe:
Watu wengi husubiri waalikwe ndipo waanze kuonyesha uwezo wao. Lakini waliofanikiwa zaidi ni wale waliounda njia zao wenyewe. Kama hupati nafasi, usikate tamaa — tengeneza nafasi yako na waonyeshe watu uwezo wako.
Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #KhaligraphJones #Kujiamini #Mafanikio
