SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA Kwa nini baadhi ya wasanii huandika vizuri kwa wengine kuliko kwao wenyewe

Download | Play Now
Kwa nini baadhi ya wasanii huandika vizuri kwa wengine kuliko kwao wenyewe

“Kwa nini baadhi ya wasanii huandika vizuri kwa wengine kuliko kwao wenyewe? ”

Kuna watu wanatunga hits za wengine,
lakini wakijiimbia wenyewe hawapenyi.
Je, tatizo ni sauti, image au soko?

Tujulishe mtazamo wako
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Songwriting #MusicDebate