E NEWS KAZALIWA

LEO KAZALIWA MWAMBA BOYZER HONGERA KWAKWE

Download | Play Now
LEO KAZALIWA MWAMBA BOYZER HONGERA KWAKWE

Leo tarehe 10, tunapenda kutoa pongezi za dhati kwa mwamba na mdau mkubwa wa muziki anayefahamika kwa jina la Boyzer kwa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.

Boyzer ameendelea kuwa mmoja wa watu muhimu wanaoupa support muziki na wasanii mbalimbali, jambo ambalo limefanya aheshimike sana kwenye game la burudani.

Kupitia IK MZIKI tunamtakia afya njema, maisha marefu, mafanikio zaidi na baraka tele katika maisha yake yote.

HAPPY BIRTHDAY MWAMBA!

Copyright © 2018 IKMZIKI.COM, © 2023 IkMziki.com rights reserved.