E NEWS KAZALIWA

SIKU YA LEO KAZALIWA MDAU WA MUZIKI MR UALAZA

Download | Play Now
SIKU YA LEO KAZALIWA MDAU WA MUZIKI MR UALAZA

Leo ni siku maalum kwa mdau wa muziki anayefahamika kama Mr Ualaza, ambaye anasherehekea siku yake ya kuzaliwa

Tunamtakia heri ya siku ya kuzaliwa, afya njema, mafanikio na maisha marefu katika kila hatua ya maisha yake.

Tuungane wote kumtakia heri yake kwenye comments, na usisahau kufuatilia IK MZIKI kwa habari zaidi za burudani.

#HappyBirthday #MrUalaza #IKMziki #Burudani