SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Kwa nini baadhi ya nyimbo zina leak kabla hazijatoka rasmi

Download | Play Now
Kwa nini baadhi ya nyimbo zina leak kabla hazijatoka rasmi

“Kwa nini baadhi ya nyimbo zina leak kabla hazijatoka rasmi? ”

Kuna kazi zinavuja kabla ya release,
na kuharibu mpango mzima wa msanii.
Je, ni makosa ya team au mbinu ya promo?

Toa mtazamo wako
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #MusicLeaks #StudioLife #Burudani