
“Je, wanawake kwenye muziki wanahukumiwa zaidi kwa muonekano kuliko kipaji? ”
Mara nyingi comments huanza na mwonekano kabla ya sauti…
Je, ni kweli kipaji kinapuuzwa kwa sababu ya sura na muonekano?
Au hii ndio hali ya burudani duniani kote?
Toa maoni yako hapa
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #WanawakeKwenyeMuziki #Burudani #TalentVsLooks
