SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Je, hit moja linaweza kumfanya mtu aitwe msanii mkubwa

Download | Play Now
Je, hit moja linaweza kumfanya mtu aitwe msanii mkubwa

“Je, hit moja linaweza kumfanya mtu aitwe msanii mkubwa? ”

Wapo waliotoa ngoma moja ikalipuka, wakaitwa mastaa.
Lakini je, hit moja linatosha kuthibitisha ubora wa kweli?
Au greatness huonekana kwa consistency?

Wewe unasemaje?
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #OneHitWonder #Burudani