
“Watu wengi wanashindwa si kwa sababu hawana uwezo, bali kwa sababu hawana mwelekeo.”
— Rayvanny, Msanii
Maelezo: Unaweza kuwa na kipaji kikubwa lakini ukakosa mafanikio kwa sababu ya kukosa direction. Jua unachotaka, weka plan, na fuata njia yako bila kuyumbishwa na kelele za nje.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #Rayvanny #Focus #Mafanikio
