
“Hekima ni kujua lini useme na lini unyamaze.”
— Professor Jay, Msanii na Mwanasiasa
Maelezo: Sio kila kitu kinahitaji majibu. Wakati mwingine ukimya ni nguvu. Kujua wakati sahihi wa kuzungumza au kunyamaza ni alama ya mtu mwenye busara.
🕐 Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #ProfessorJay #Hekima
