
“Mambo makubwa hayajengwi kwa siku moja, yanahitaji muda na uvumilivu.”
— Alikiba, Msanii
Maelezo: Usiwe na haraka ya mafanikio. Kila kitu kina wakati wake. Ukivumilia na kuendelea kufanya kazi, matokeo yatakuja kwa wakati sahihi.
Usikose NUKUU YA LEO kila siku saa 1:00 hapa IK MZIKI.
#NukuuYaLeo #IKMziki #Alikiba #Subira #Mafanikio
