
Leo tarehe 19 ni siku maalum kwa staa wa muziki wa Singeli, Msaka Daily, anayesherehekea siku yake ya kuzaliwa
Tunamtakia heri ya siku ya kuzaliwa, afya njema, mafanikio makubwa na baraka tele katika safari yake ya muziki na maisha kwa ujumla. Endelea kutupa burudani na kuupeperusha bendera ya Singeli juu zaidi
Tuungane wote kumtakia heri yake kwenye comments, na usisahau kufuatilia IK MZIKI kwa habari moto za muziki na burudani.
#MsakaDaily #HappyBirthday #Singeli #IKMziki #Burudani
