SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Je, wasanii wanapaswa kuimba kile wanachopitia au kile kinachouza

Download | Play Now
Je, wasanii wanapaswa kuimba kile wanachopitia au kile kinachouza

“Je, wasanii wanapaswa kuimba kile wanachopitia au kile kinachouza? ”

Maisha halisi vs soko la biashara.
Ukiimba ukweli wako — huenda usitrend.
Ukiimba kinachouza — unapoteza uhalisia.
Wewe ungechagua nini?

Tuambie maoni yako
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #RealMusic #Burudani #Wasanii