
“Je, wasanii wa zamani wanaheshimika kweli au wanatumika tu kama kumbukumbu? πΆπ°οΈ”
Kuna waliotengeneza historia ya muziki wetu,
lakini leo hawaonekani kwenye matamasha makubwa wala promosheni.
Je, tunawapa heshima inayostahili au tumewasahau?
Toa maoni yako hapa
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #OldSchool #MuzikiWaBongo #Burudani”
