SAUTI YA MTAA

SAUTI YA MTAA : Je, umaarufu wa ghafla unawaharibu wasanii wengi

Download | Play Now
SAUTI YA MTAA : Je, umaarufu wa ghafla unawaharibu wasanii wengi

“Je, umaarufu wa ghafla unawaharibu wasanii wengi? ”

Kutoka chini hadi juu kwa haraka…
lakini je, akili na mfumo wa maisha unakuwa tayari?
Ndio maana wengine hupotea haraka walivyokuja?

Toa mtazamo wako
#SautiYaMtaa #IKMZIKI #Fame #Wasanii #Burudani